Ngoja leo tuambiane ukweli Vijana wenzangu namna ya kufanikiwa kiuchumi

Kiduku Lilo unazingua , si nishakwambia uwe unanitag bhana , vitu vitamu kama hv havitakiwi kunipita hata masaa mawili
 
“Kama wewe ni muongo, acha uongo uongo anza kutunga stori... andaa riwaya na filamu upige hela”.

Hiki kipande kifanyie kazi pia.
 
Kwa Hali hii siwezi kuiacha jamiiforum
 
Sasa wewe umetafutiwa kila kitu na wazazi unajua nn kuhusu maisha bwana mdogo
 
Huu ushauri mzuri sana ndugu Kiduku Lilo
"Tunavalisha kidani cha dhahabu kwenye pua ya nguruwe"

Umetupia madini mwanzo mwisho,vijana tunafanya makosa halafu kibaya zaidi tunawaambukiza hadi watototo wetu,kuna cha kujifunza hapa[emoji106][emoji106]
 
Total bullshit,"matajiri wengi na waajiri wengi hawakusoma"nikisikia hii sentensi huwa napata mashaka na ubongo wa watu wanaoamini huu upuuzi,kwa hiyo vijana wasiende shule kufanya uhandisi,Udokta,uhandishi Ili wawe matajiri!
Huu mtandao unaoutumia kupost uzi wako,unafikiri ulitengenezwa na kijana wa Darasa la saba?
Founder wa jamii forum kasoma engineering DIT.
Facebook,whatsaap,hizo gari za babako unazolingia unafikiri zimetengenezwa na vijana wa veta,ni wasomi,wahandisi waliobobea wanaokuwekea mifumo inayokufsnya ufuraie maisha.
Unazijua data centre za makampuni ya simu?pale kuna vijana ma engineer to usiku na mchana wanapiga kazi kuhakikisha mifumo inaenda vzr,ikuwezeshe wewe kupata mawasiliano bora,na huduma nyingine.
Tatizo la Afrika sio kozi wanazosomea vijana,udakitari,uhandisi,tatizo hakuna ajira,fulsa,
Ulaya na US,kumejaa vijana kutoka Asia,wanafsnya IT,uhandisi,Udakitari,
Kama kujiajiri ni rahisi,wewe hapo umesema upo unakula na kuenjoy mali za wazazi,lakini huna hata genge/biashara ulioajiri hata mtu mmoja!!!
Lakini unataka wsliozaliwa kutoka familia maskini watengeneze ajira!
Unafiki mkubwa!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Mbona ameeleweka tatizo lako nini sio kila mtu lazima asome get point yake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…