Ngoja leo tuambiane ukweli Vijana wenzangu namna ya kufanikiwa kiuchumi

Mbona jamaa ameeleweka vizuri tu labda urudie upya kusoma
 
Ushauri mzuri sana kama umeweza kumpa Mwanamke ml 2 na hajajua anazifanyia nini hilo ni tatizo,, nikuombe tu unikopeshe na mimi ml 2 tu
 
Umeongea point.. Naichhkua hyo
 
Daaah mkuu umeongea point pia, Ila mi nakulaumu Sana kutumia Tecno kujibu Uzi ulioandikwa Kwa iPhone X 😃
 
"Nitawatukana na watanipongeza; alisikika Chizi wa kitaani kwetu akijifaragua, anyway leo umetutukana kistaarabu tunashukuru mkuu!!
 
Unapodate na mwanamke mpumbavu automatically unanyonya upumbavu wake.

Nadhani mmemuelewa boss na ata msipoelewa mwenzenu mwisho wa mwezi mshahara wake uko pale pale.
Kuchovya chovya wanawake tofauti una beba maroho machafu,ma laana nk
 
Hiyo ya mtu kusomea udaktari halafu unafungua mabanda ya chipsi inasikitisha sana.
Fikiria namwita "dr. Niletee chipsi kavu na mishikaki mitatu pembeni, usiweke pilipili"
Hapo lazima usahau na ulichosomea.
Lakini anaingiza pesa nyingi kuliko daktari
 
Umekumbuka baada ya kumaliza kusoma!? Leo ameleta kitu adimu mkuu.
 
Lakini anaingiza pesa nyingi kuliko daktari
Kama ni hivyo ilibidi alivyomaliza form 4 aache kwenda advance badala yake akajifunze kuchakata viazi viwe chips. Umeona hapo elimu ya miaka miwili ya advance na minne ya udaktari haitumiki kabisa kwenye utengenezaji wa chips.
 
il jamaa ua linanfraisha sana yan ua naanzaga kucheka kabla cjamalza maandko yake Mungu akusaidie tu hayo maisha unayoyafkriaga yatokee kwenye uhalisia wako mana naamn hakuna tajr wa ktanzania mwenye muda wa kutuandkia yote haya
 
Kama ni hivyo ilibidi alivyomaliza form 4 aache kwenda advance badala yake akajifunze kuchakata viazi viwe chips. Umeona hapo elimu ya miaka miwili ya advance na minne ya udaktari haitumiki kabisa kwenye utengenezaji wa chips.
Asilimia 80 awafanyi walivyovisomea.Na wamefanikiwa kwenye utashi wao.Mfano nimesoma sheria nikaacha fani ya sheria nikajikita kwenye kilimo au madini nikatoe huko kimaisha.Kusoma na fursa ni vitu tofauti.
 
Bob umepanic bure tu, Bakhressa hamna shule, Diamond Platnumz hamna shule, John Boko hamna shule, Kibajaji hamna shule, Freeman Mbowe ni genius ana elimu ya kawaida tu ya kufuta ujinga, Sugu form four, Profesa Jay humohumo.

Wadome wote hao hapo juu kila mtu alitambuwa talanta yake iko wapi akawekeza nguvu na akili zako huko na wote hao hapo juu wametobowa, ndio lengo la mtoa mada.

Sasa shida yako wewe mpenda kuitwa injinia wakati mfukoni una buku na unagombea daladala, wewe ni fala tu, bora uache hiyo injiniaringi yako kajiunge na Mr Kuku tufuge kuku tuangalie matokeo baada ya miaka mitatu utakuwa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…