Ngoja leo tuambiane ukweli Vijana wenzangu namna ya kufanikiwa kiuchumi

Bill Lugano a.k.a Kiduku Lilo tajiri wa JF kutoka Mbeya.
Natokea nchi mbalimbali ambazo tuna makazi. Canada, Sweden,Uk,USA,Norway na juzi juzi mzee kanunua tena Mansion huko Dubai. Mbeya napafahamu kidogo tu maana sina ndugu kule. Ndugu zangu wametawanyika ulaya na marekani. Ni mimi tu ninayekuja ishi kidogo Tz kisha narudi tena nchi za kitajiri.
 
Umetisha sana kidukulilo
 
ila ww pia ni mwandishi mzuri ungekomaa kwenye uandishi ungekuw maarufu na mwenye mafanikio na sio unakuja kushauri maisha ya watu humu jamii forum, mambomengne ni ya mungu tu,binadamu ana panga na mwenyez anapang yake
ingekuw hvo ww na uandishi wako ungekuw mbali humu watu hatuonani hatujui unachoongea kinafanana naww
 
Mkuu mwanzo nilikuwa nasoma nikihisi majigambo yako Yale ila nimefika sehemu nikagundua hii ni tofauti na nyuzi zako nyingine.

Hongera mkuu umeandika madini sana unapata elimu huku unatabasamu

Kiduku Lilo aka Big Lugano.
 
Nimeirudia tena kuisoma ni nzuri sana kwa kweli WAKOLA MUNO
 
Ndondo nzito alafu kama dizain imeandikwa fasta na ikiwa imeshehein jumbe nzito na nzuri (wanazengo wanasema maneno kuntu)
 
hii elimu ya kijinga sanaa niliishia diploma baada ya mzee kunilazimisha nifanye degree nikamwambia no. leo nipo mahara nawaongoza watu wenye masters na maboss wananikubali kinomaaa
 
MKuu nimejifunza kitu hakika jf nikisima cha maarifa.the Akili kubwaz.ubarikiwe mkuu.
 
Mkuu mwanzo nilikuwa nasoma nikihisi majigambo yako Yale ila nimefika sehemu nikagundua hii ni tofauti na nyuzi zako nyingine.

Hongera mkuu umeandika madini sana unapata elimu huku unatabasamu

Kiduku Lilo aka Big Lugano.
Fact kwa lugha ya kishkaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…