Tutolee underground wakoNyota wa muziki Ali Saleh Kiba 'Ali Kiba' anatarajia kuachia Album yake mpya mwaka 2021.
Itakumbukwa kuwa King Kiba mwaka 2018 alisema kuwa albamu yake ijayo iliyoshindikana kutoka mwaka huo ingetoka mwaka 2019
kutaja jina kuwa itaitwa 'King Kiba Diary'. Kwa mujibu wake mwishoni mwa mwaka huu wa 2020, King Kiba alisema kuwa kutoka kwake, mashabiki watarajie ujio wa albamu kabla ya kumalizika nusu ya mwaka ujao wa 2021.
View attachment 1663003
Labda huyo jamaa blaki hapo mwenye kipara na miwani ndio anamkwamisha.Nyota wa muziki Ali Saleh Kiba 'Ali Kiba' anatarajia kuachia Album yake mpya mwaka 2021.