Ngoja ngoja ya albamu ya King Kiba tangu mwaka 2018

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Nyota wa muziki Ali Saleh Kiba 'Ali Kiba' anatarajia kuachia Album yake mpya mwaka 2021.

Itakumbukwa kuwa King Kiba mwaka 2018 alisema kuwa albamu yake ijayo iliyoshindikana kutoka mwaka huo ingetoka mwaka 2019

kutaja jina kuwa itaitwa 'King Kiba Diary'. Kwa mujibu wake mwishoni mwa mwaka huu wa 2020, King Kiba alisema kuwa kutoka kwake, mashabiki watarajie ujio wa albamu kabla ya kumalizika nusu ya mwaka ujao wa 2021.

dizzimonline-___CJa-1Mmh59d___-.jpg
 
View attachment 1663003
Tutolee underground wako
 
Labda huyo jamaa blaki hapo mwenye kipara na miwani ndio anamkwamisha.
 
Halafu anashika shavu badala ya kushika kichwa chake kizima chenye matatizo ya kufikiria vizuri
 
Back
Top Bottom