Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
KARIAKOO DERBY 'THE AFRICAN EL CLASSICO' NA KUTUNZA INARUHUSIWA
.
Imenichukua miaka kushuhudia punching saves Kama za Leo Alizofanya Shikalo, imenichukua muda kuona crazy footwork Goalkeeper Kama Huyu Shikalo , huyu Farouk Shikalo ni sweeper hatari mno Kajitahid Sana Na Hapa Anaonekana Vile pia Kutokana Na Performance Mbovu ya Manula Mpaka Nikajiuliza Benno Kwanini Bado Yupo Njee
.
Imenichukua muda kushuhudia Kocha wa Kitanzania mwenye uwezo mkubwa wa kuusoma mchezo na kufanya twists za akili, Yanga waliingia na 4-2-3-1 ila kipindi cha pili wakajivua kwenda 4-4-2, lengo ni kujilinda ila kuminya uwanja kufanya Simba wasitanuke
.
Itanichukua muda kumshuhudia The Darling Football Maestro Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima Fabregas wa Majengo Gisenyi pale Rwanda, alianza kama winger, akamaliza kama central midfielder, aliutanua uwanja zile piercing passes, wing switcher passes na mwishoni alitumika kwenye recycling
.
Simba walikuwa na mpira, wakimiliki na viungo wengi ila walikosa last man, mtu wa kuzitumia vizuri zile nafasi zao, plan nyingi zilifia kabla ya kuigusa 18, plan B ya Simba ni kasi za wings Ni wazi Kabisa Tulimhitaji Ibrahim Ajibu Migomba Fundi
.
Deo Kanda is one hell of a brilliant footballer, miguu ya almasi, akili ya dhahabu, jicho la Mwewe na mnuso wa bundi, anaujua mpira, anazijua nafasi na mwishoni ni goal getter mzuri, Kahata alipungua baada ya Deo kutoka Na Hapa Ndipo kasi ya Wings Ilipungua Kwa Maana ya Kubaki na mtu Wa Mbio na Mwenye Uwezo Wa Kuchukua Wawili Watatu Ambae ni Dilunga Sukari hii Kwasababu Tayari Kahata Energy Ilikua Imepungua Hakuweza Tena Kukimbia na Kuludi kwa Kasi Sahihi
.
Adeyum imenichukua muda kuziona Parabola crosses, imenichukua muda kuona mchimbo kama ule Uliozaa Bao kupitia kwa Mo Banka
.
MO Banka amenikumbusha Athuman Chuji, sikumbuki lini Tanzania imekuwa na kiungo mwenye mapafu ya mbwa, alikuwepo kila eneo, alikaba, alichezesha na kufunga, aliwatanya Simba atakavyo Pamoja Na Tshishimbi Good performance Kaonyesha tena Haswa Baada ya Kuludi Kiungo cha chini
.
Kuna kitu kilikosekana kwenye kiungo cha Simba, Patten ya Mkude na Mzamiru haziendani, wana ladha tofauti za pass na marking, wana shida kwenye coordination, muda wa kukaa na muda wa kuitoa timu Hapa Sasa Nilimhitaji Fraga kwa Maana ya Kukata Umeme Kisha Mkude Akabaki Kusambaza Upendo So Far So Bad Makosa Yapo Kwa Mpira na Lazima Uadhibiwe Ukiyatenda Maeneo Sahihi kwa Mpinzani
.
Sema Wananchi[emoji1] pale kati leo, kuna muda wanakaa triangle, kuna wakati parallel pattern, kuna muda trapezium, wanakuita unakuja wanasepa [emoji38] Romantic
.
Yule mtoto Balama ni wa Iringa kweli, long range bullet Ile, sukari sana kama ile text 'Baby nishukie Wapi.
Sven Kuna Mda Alionekana kama Anataka Kushindwa Kutuliza Ile Presha ya Yanga Pindi Walipoinuka na Kupata Nguvu ya Kushambulia Lakin Alikuja Kupata Idea Ambayo Kidogo Ilituliza Presha Kidogo na Simba Wakaanza Kutembea Vizuri.
All in all Football Ndivyo Ilivyo Simba Tulihitaji Point Tatu Lakin Zimekosa na Tumepata Moja Same to Yanga Lakin Ukweli Utabaki Pale pale Kua Simba Game Ilikua Mikononi Mwake Kajinyima Haki Aliyostahiki, Tuendelee Kuuheshimu Mpira Utatuheshimu Pia It Was a Kariakoo Derby Baby Wacha Nikuache Nichukue Zangu Urojo Niendeleze Kutuliza Presha ya Kupata Mrembo mkali Toka Mitaa ya Kigali Rwanda Kwa Utulivu Mzuri
Usiku mwema kwenu wote[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app