Ngoja niandike kidogo kuhusu Kariakoo Derby

Ngoja niandike kidogo kuhusu Kariakoo Derby

Na kama manula angekuwa anadakia yanga jana ,basi wangepigwa zaidi ya goli nne,shikalo kawasaidia sana
 
ungesema hayo ni maoni yako kuna tofauti ya kutoa maoni na kufanya uchambuzi inabidi ubadirishe kichwa cha habari
 
Back
Top Bottom