OhoooHii mada ni ya kipumbavu sijawahi ona
Sema nimeipenda sehem moja tu (baby nishuke wapi?) Hii msg hakika huwa ni Asali
Sema punguzen kutumia power bank
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mada ni ya kipumbavu sijawahi ona
Sema nimeipenda sehem moja tu (baby nishuke wapi?) Hii msg hakika huwa ni Asali
Sema punguzen kutumia power bank
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui mpira tupisheManula yuko vizuri kuliko Kakolanya acheni kujidanganya. Yale magoli ya Yanga goalkeeper yeyote including Degea anafungwa.
Humjui Fraga wewe.Hicho ki fraga nnakuhakikishia mngekifukuza Jana. Hakina uwezo wa kucheza game yenye presha kama ile
Huo ni muendelezo wa kocha Aussems, hakuwa anawapa mazoezi ya kutosha, bata zilikuwa nyingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haha.....