Ngoja nijaribu kutunga jinsi ya kuwa bilionea kwa hii 500

[emoji849] [emoji849] [emoji849] [emoji117] hiki ndo kikokotoo kipya!?

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Ukimaliza mu-acknowledge Idrisa Sultan na ukimaliza acha wizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unayafanya hayo unakaa kwenu na kupewa kila kitu
 
Hii inaitwa ijue nguvu ya jero

Ila hizo ni hela za kwenye karatasi tu ...kwenye uhalisia things are not so easy.
 
mkuu kikokotoo ulichotumia hapo nakumbuka jiwe alikistopisha juz kati hapa
 
Ni rahisi sana kiandika ila kiuhalisia si jambo rahisi ambalo linakosa kikwazo hata kimoja yaani unaserereka tu.
Acha tjifunze kutoka kwake utajir wake wa 2 years then we will follow his steps
 
ila atleast ameweza kutoa mwanga flan kwa mtu ambaye hana cha kufanya mtaani,anaweza kuanza hata na buku tano akafika mahala akawa na mtaji wa milioni 2...Big up kwa mtoa mada
 
Nilichokusifu mdogo wangu ni kwamba umetoa njia ambayo wapo watakaoamua kuifanya hiyo biashara anagalau waksahau kuomba omba vocha kwa mashemeji zao,sio lazma aanze na jelo au apate faida kubwa kama ulivyosema wewe ila naamini hawezi kukosa faida walau ya buku 5 kwa siku...ikiwa mtu anauza miguu ya kuku Keko na anaishi huyo wa matunda atashindwa nini? narudia tena flame work yako ni nzuri inafaa kwa kuanzia kwa watu wasiojua nini cha kufanya mtaani
 
Nadharia nzuri ila hapo bado haujapigwa mizinga, matunda yakaoza kwa kukosa soko,ukakabwa na vibaka wakakupukutisha hela yote.Ndugu yako unayemuamini akaitia pikipiki mtaroni, au ikaibiwa, magari uliyonunua yakawa mabovu ukakosa hela ya kununulia parts. Mkuu, the road to richness is not that straight forward.
 
kwenye kufungua tu kituo cha kuuza matunda ushafeli then hujapigia mahesabu matumizi mengine kama chakula hapo umekula bonge la ngwaraa
 
Jinsi ya kuwa milionea ndani ya siku moja.
Omba mtu akuazime 1000
Nenda kabeti perfect12 au jackpot.
Patia timu zote 12 au 13 kwa usahihi
Utajishindia milioni 50 na kuendelea.
Rudisha 1000 uliyoazima. Enjoy
 
Ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekuwa bilionea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…