Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Nilikua sijui na nikawa nadharau sana, ila Facebook Ina wateja utawachoka wenyewe, Kuna magroup ya biashara kujiunga bure unakuta Kila group lina 200k members asikudanganye mtu utafanya biashara mpaka utachoka
Kama unauza used machinery and tools, hasa heavy duty, Arusha should be your number one target, watu wa Arusha wanapenda vitu genuine kuanzia machines hata kama ni used mpaka kwenye nguo viatu etc.
Ukifanya biashara ya kuchukua used machines kutoka znz kwenda Arusha pesa itazaa pesa trust me, dar kuna changamoto Kila utachoagiza mchina kashaleta clones kwa Bei nafuu sana na watu wa Dar wanapenda vitu vinavyongara hata kama sio genuine
Biashara zote zinahitaji usimamizi, usiogope kuingia share na watu serious kama watatenga muda wao msimamie biashara pamoja, ila yote na yote Kariakoo is the center of business hub, biashara ya kkoo inatoka maradufu kuliko popote pale usiogope Kodi
Cheers, Mr mutuu, kutoka 8 8 Arusha nipo Dodoma kwa sasa