Ngoja nikuvalie njuga Mfyuuuuuu(mfyonyo)

Ngoja nikuvalie njuga Mfyuuuuuu(mfyonyo)

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2007
Posts
8,189
Reaction score
7,853
Haijalishi weee hapa tunazunguzmia Mfyooonyo yaani unasikia mfyuuuuu mtu katoa yake na imevutwa kama mpira wa manati, yaani inaanza mbali na ikimalizika lazima utaona cha mtema kuni😂


🤪Wee acha tu

Basi unasikia ' unajifanya mjanja sio mfyuuuuuuuuuuuu
ngoja nikuvalie njuga.... qqmmk mfyuuuuuu😂

enzi hizo njuga ilikuwa kiatu chochote oversize, kimejaa vumbi, kina soli orijino,kina soli ya ngozi, bati,na raba mtoni chini na imegandishwa na gundi ya iliyotengenezwa kwa fundi(mchanganyiko wa petroli na styroform)na kishashonwa mpaka fundi viatu akikuona walahi anafunga duka, yaani hataki hata kupoteza nyuzi au soli au gundi nyingine kuongezea na kupoteza mda wake! hata ukiwa na gobole au dala ngapi Na usiombe ukatwe mtama na njuga hiyo! weee Mfyuuuuuuuuu






#kitufechamfyonyoMfyuuu

😡🤣😯.....ongeza Mfyoooonyo
 
20230214_204510.jpg

Ujinga mwingi sana mwaisa
 
Bangi uliovuta ilikauka vizur !? Mfyuuuu 🤧🤧🤧
Hapo umupenga bange lote limekutoka, mfyuuuuuu😂

Ndii nimesema hakuna emoji yake, wewe umelazimisha unapenga makamasi au bange lako bichi mfyuuuuu
😂😂
 
Kombolela na kudundisha kitenesi wapi na wapi mkuu.
Kombolela ni mchezo wa kujificha then anaezinga ndio anakazi ya kuwatafuta waliojificha ile unakuta kombolela Juma kombolela Hadija na huo mpira unakuwepo kwajili ya kuputua ili kokomboa waliofichuliwa
 
Kombolela na kudundisha kitenesi wapi na wapi mkuu.
Kombolela ni mchezo wa kujificha then anaezinga ndio anakazi ya kuwatafuta waliojificha ile unakuta kombolela Juma kombolela Hadija na huo mpira unakuwepo kwajili ya kuputua ili kokomboa waliofichuliwa
Mfyuuuuuu😅
Haya umetengua kitendawili Mkuu.😅 haya tuendelee, Mfyuuuuu
 
Wajameni ehh

Hayo nilayasikia enzi hizo na kuona mitaani, aidha baada ya Kombolea au Baada ya Vitenesi n.k
😂

Kwa wale wasiojua: Kombolela ni mchezo unaochezwa na wakina dada kwa kutumia Kitenesi(tennis ball) au mpira wa karatasi na Vilevile,

Mchezo wa 'Vitenesi' ambao ulikuwa kupigiana kipira cha Kitenesi(tennis ball) au Mpira wa makaratasi.....kwa kichwa.

Michezo yote hii ni kuwa mpira unabaki hewani ukidondoka au kukupita ndio goli!

Haijalishi weee hapa tunazunguzmia Mfyooonyo yaani unasikia mfyuuuuu mtu katoa yake na imevutwa kama mpira wa manati, yaani inaanza mbali na ikimalizika lazima utaona cha mtema kuni😂


Maneno kama hayo lazima yaambatane na mfyonyo.... utayasikia kutoka pande zote Kina DaDa na kina KaKa baada ya kuisha michezo husika na kundi moja la upande wa kina dada kuanza kuwasuta wenzao kwa kile wanachokiona kuwa ni nongwa ya baadhi ya watupa mipira kumpopoa mwenzao kwenye nanihiu. 😶Na wakina KaKa baada ya mwenzao kuliwa mtama wa nguvu kwa vile tu alipiga kitenesi kikali na kumpopoa mwamba wa kitenesi mwenziwe wa mtaani, Jichoni 🤪Wee acha tu


ngoja nikuvalie njuga.... qqmmk mfyuuuuuu😂

enzi hizo njuga ilikuwa kiatu chochote oversize, kimejaa vumbi, kina soli orijino,kina soli ya ngozi, bati,na raba mtoni chini na imegandishwa na gundi ya iliyotengenezwa kwa fundi(mchanganyiko wa petroli na styroform)na kishashonwa mpaka fundi viatu akikuona walahi anafunga duka, yaani hataki hata kupoteza nyuzi au soli au gundi nyingine kuongezea na kupoteza mda wake! hata ukiwa na gobole au dala ngapi Na usiombe ukatwe mtama na njuga hiyo! weee Mfyuuuu


Kwa hayo basi, na kwa vile humu jamvini huwa tuna kicheko, dole gumba, na lile la makasiriko, mshangao n.k nk.

basi ningependekeza watuongezee kitufe(emoji) cha Mfyonyo mdogo, Mfyoonyo wa kati na Mfyoonoooonyo mrefu! ili tukiwa na hasira tukifinye pale
Nawasilisha.

#kitufechamfyonyoMfyuuu
Jinsia yako?!
Umri wako?
Umeoa?
 
Jinsia yako?!
Umri wako?
Umeoa?
Id yako unayotumia kwenye majukwaa mengine ina Jinsia? 🤷‍♂️ Mfyuuuuuuu

Unajua unachokinena? 😋 eehhh
Unataka jinsia yangu ili nikuvalie njuga? au iweje?

Umri? wa nini, wewe👉 Mfyuuuuuuuuu!!

Unahitaji Mume?😆

Mfyuuuuuuuuuu
😂😛😆😆😆 nakucheki👀
 
  • Mshangao
Reactions: EEX
Ndio hiyo👆 Id yako nyingine?
Unashangaa na nini sasa?
Unapenda kuvaliwa njuga? Mfyuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom