BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Wanaforum poleni na mihangaiko ya weekend.
Nimetafakari kwa kina kwa muda mrefu, nafikiri ni wakati sahihi nikaombe ridhaa kwa chama changu CCM panapo majaliwa niwatumike wana same magharibi. Mi ni damu Changa ya kizazi kipya. Kwa miaka nenda rudi Jimbo hili limekuwa na changamoto zile zile.
Nitaomba ridhaa ya chama mwaka 2025 nipeperushe bendera ili niwe mkombozi wa wananchi wa Jimbo hili.
Nina nia, uthubutu na uwezo wa kuleta mabadiliko.
Asante sana