Ngoja Niwaambie Kitu

Ngoja Niwaambie Kitu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kupiga Picha na Mandela hakukufanyi na wewe uitwe
Mjukuu wa Madiba, utabakia kuitwa mgogo wa
Hombolo tu...
Kuitwa kwako Baby kusikufanye
ubweteke na kujiona umemaliza kazi, Kuitwa Baby ni
mwanzo wa majukumu mazito ya kulikuza hilo jina la
Baby mpaka uitwe Adult, Kuna watu wachumba miaka 9 utadhani mnacheza filamu ya Days Of Our
Lives bado unamuita tu Baby wangu, hebu badilisheni
basi muite Hellow darling Adult Kuitwa Baby ni
Majukumu na sio cheo cha Kimahaba, U bebi unakuja
na Responsibility. ..KALAGABAHO! Ukiona Mbuzi juu ya
Bati usidhani ana mabawa,jua kapandishwa huyo,True Love needs preparation,Miujiza inatokea
kwenye Muvi za Ki-Nigeria tu sio kwenye Mapenzi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] "kwenye muvi za kinaijeria"
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kupiga Picha na Mandela hakukufanyi na wewe uitwe
Mjukuu wa Madiba, utabakia kuitwa mgogo wa
Hombolo tu...
Kuitwa kwako Baby kusikufanye
ubweteke na kujiona umemaliza kazi, Kuitwa Baby ni
mwanzo wa majukumu mazito ya kulikuza hilo jina la
Baby mpaka uitwe Adult, Kuna watu wachumba miaka 9 utadhani mnacheza filamu ya Days Of Our
Lives bado unamuita tu Baby wangu, hebu badilisheni
basi muite Hellow darling Adult Kuitwa Baby ni
Majukumu na sio cheo cha Kimahaba, U bebi unakuja
na Responsibility. ..KALAGABAHO! Ukiona Mbuzi juu ya
Bati usidhani ana mabawa,jua kapandishwa huyo,True Love needs preparation,Miujiza inatokea
kwenye Muvi za Ki-Nigeria tu sio kwenye Mapenzi
kuna mtu kamlenga ukiona huelewi ujue haikuhusu.
 
Kwa hiyo ndio ulitaka kusemaje? Kwamba sisi wagogo ni magogo au?

Wewe utakuwa unataka fimbo.
 
heheh aiseee.. Yan hizi pumba zako na za kubenea huwa nazieleewa saana..
 
Mipasho hii ameandika wa kiume au wa kike
 
Back
Top Bottom