Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,139
hahahaa. kikosi kilikuwa kimekamilika.Yanga hii hao kina Ngoma au Okwi wasingepata namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa. kikosi kilikuwa kimekamilika.Yanga hii hao kina Ngoma au Okwi wasingepata namba
Kweli mkuu. Enzi zile mchazaji anapewa posho tu kwa ajili ya kununua unga nyumbani pindi anapokuwa kambini au safarini. Wachezaji hawakutanguliza pesa mbele, walitanguliza uzalendo na bidii zaidi.Daaahhh,,, umenipeleka mbaaliii saana Dragoon
Yaani naisoma hio listi huku mwili ukinisisimka
Wakati huo ndio tz mpira ulikua ukichezwa japo ulikua mpira wa ridhaa
Lkn walikua wakijituma na kucheza kwa moyo mmoja
Kweli mkuu. Enzi zile mchazaji anapewa posho tu kwa ajili ya kununua unga nyumbani pindi anapokuwa kambini au safarini. Wachezaji hawakutanguliza pesa mbele, walitanguliza uzalendo na bidii zaidi.
Hahaaaaaaaaaaa,Uongozi tbccm, ubadilishie huyju jamaa bwigane/mzee wa viroba/ mabapa majukumu kutangaza mpira hakumfai a
Hasa linapokuja suala la simba
Wahenga kwenye ubora wetu....
Mmemsahau hayati Ezekiel Malongo mwishoni mwishoni ndio waliofunga dimba akiwa na Juma Mkamia sema daaah huyu kawa bamia inaharibika ukubwani..
Enzi hzo Simba ilicheza fainali kombe LA CAFTanzania wachezaji A.K.A kibao lakini Tangu kuumbwa kwa dunia hatujawahi kushika hata namba 3 ya kombe la afrika wala kupata nafasi ya kucheza kombe ladunia lakini utawasikia hao ma A.K.A wenyewe sasa mara enzi zetu soka lilikuwa juu sasa limeporomoka. Hakuna kitu cha namna hiyo kitu ambacho kimewahi angalau kututambulisha kama taifa katika ulimwengu wa michezo ni riadha....tukomae na hilo litatusaidia
Enzi hizo hata taiga stars ilikuwa NA uwezo Wa kwenda kuchukua kombe LA challenge ugenini. Leo hii Malawi wanatubabaisha nyumbani!Tanzania wachezaji A.K.A kibao lakini Tangu kuumbwa kwa dunia hatujawahi kushika hata namba 3 ya kombe la afrika wala kupata nafasi ya kucheza kombe ladunia lakini utawasikia hao ma A.K.A wenyewe sasa mara enzi zetu soka lilikuwa juu sasa limeporomoka. Hakuna kitu cha namna hiyo kitu ambacho kimewahi angalau kututambulisha kama taifa katika ulimwengu wa michezo ni riadha....tukomae na hilo litatusaidia
hautangazwi redioni, unatangazwa kwenye magazeti na mdomoniKwani siku hizi mpira unatangazwa redioni?