Mie na wewe hatunaga shidaa... nimetuma na dogo akuletee mihogo 😅😅Nasubiria kwa hamu hapaa mjomba!! Karibuuu
Kumbe tuna crashiana?Halafu huwa nshakuwa crush wako hapa juz kati sema sikukuonesha...
Ila siku mbili hizi ucrush umepungua
Hili nalo serikali iliangalie😀Tatizo lako una utata wa jinsia
Antonnia hii nakuita ni mara ya 3Mie na wewe hatunaga shidaa... nimetuma na dogo akuletee mihogo 😅😅View attachment 2539090
😂😂Nimewaambia wakakupapase kuhakiki jinsia yako
Soma uzi Acha uvivu
Ebu mmoja ajaribu kunitext nione kama nimeifunga pm yanngu😂Watu wamefunga Pm zao wanakulike makusudi na chakuwafanya huna [emoji23][emoji23]