Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Nakuhakikishia huyu Nakadori fanya ubebe mkuu hii chombo haina kelele sema hakikisha yule ankoli wake kafa..[emoji23][emoji23][emoji23]

Umejuaje Mkuu ? Hii Chombo ina akili nyingi sana na ina discpline sana inapokuja kwenye ishu ya mipango ya maisha, Sema ni pasua kichwa sana huwa haitabiriki kabisa lakini She is the among worlds real Woman.
Kwako Miss Nakadori πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah hizi sifa zote zangu at eehh
Glenn ni ya kweli haya?? Sio sifa zimeongezwa??
 
Najuaje tena [emoji23][emoji23] au umenisahau
Kuloga ni suna yakhee...
Akikushinda niambie faili lake ninalo..
Nitafurahi ukibeba hiyo pisi kwanza unaanza 0:0
 
Dah hizi sifa zote zangu at eehh
Glenn ni ya kweli haya?? Sio sifa zimeongezwa??
Hizo ni zako kabisa halafu akija Me Mzembe <zembe kwako hata siku 3 ataondoka bila hata kuaga 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…