Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Kama unatumia browser. Hapo juu pembeni ya neno JamiiForums kuna ka mtu bonyeza hapo kisha tafuta neno privacy bonyeza hapo kisha nenda eneo la allow users to kisha kwenye start conversation with you weka nobody kisha click neno save
Hivi wanafungaje? Nielekeze na mimi
 
Siti ya mbele kabisa na popcorn zangu πŸͺ‘[emoji897] nikisubiri 'KE' waku-like hii comment nizame DM

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚ mwenzetu tangu jana wamekugomea kulike, hii thread kuna watu watajikatia tamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama unatumia browser. Hapo juu pembeni ya neno JamiiForums kuna ka mtu bonyeza hapo kisha tafuta neno privacy bonyeza hapo kisha nenda eneo la allow users to kisha kwenye start conversation with you weka nobody kisha click neno save
Asante sana
 
unafundisha nn
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zitulie haya maisha ni magumu bhana, when things are on it way nazo ndio wakati wake kuchachamaa sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…