Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
😀😀😀kitaeleweka tuNiko occupied 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀kitaeleweka tuNiko occupied 😂
Hujabahatika kichaa kama mimi?🤣🤣🤣🤣Nilijiunga JF kwa sababu hio,kuna enzi nilikua napatikana nyuzi za mapambano zaidi. Kwangu fujo za mtandaoni ni burudani 🤣🤣🤣🤣Maongezi ya PM hayana ladha,watu wanakua wapole sana pande zile
Anaongea tu hatakutana na mwamba atasahau hata kama aliwahi kuwa na mutu😂😀😀😀kitaeleweka tu
Kwani umeshitakiwa?🤣Nimefanyaje tena 🙆🏼♂️
Mchagua jembe si mkulimaSisi wenye sura mbovu na shepu za akina ashaboko sijui itakuwaje
[/QUMchaMchaf
Endeleeni kujitaja wote tujue status zenu kiranja wa zamu niko hapa🤣Taken 😀😀
Hujabahatika kichaa kama mimi?🤣🤣🤣🤣
Jiachie rafiki yangu furaha unayo wewe ukijua utakacho na usichotaka😂😂
Nawe usiwe mtata sana wewe wa kike ujue😂Nilijiunga JF kwa sababu hio,kuna enzi nilikua napatikana nyuzi za mapambano zaidi. Kwangu fujo za mtandaoni ni burudani 🤣🤣🤣🤣Maongezi ya PM hayana ladha,watu wanakua wapole sana pande zile
Kwa taarifa yako napendelea watata kama wewe bahati yako umejifungia🤣Haya maisha ya mtandaoni tu,najiachia kwa style ya kujihami dull burudani
Like basi hata na wewe unayetafuta tafuta alafu huko inbox tutajua chakufanyaWatu wako inbox kimya kimya wanatuma salamu
Ya kwako ya zamani ni ipi mkuu😂Unataka kuwekwa kwa bango au 😀😀😀? Privacy ni muhimu ndio maana watoto wanazikimbia ID zao za zamani kila siku humu.
Kwani umeshitakiwa?🤣
Sitarajii uwe hukubukiwa...meza zinapinduka tu😂Mimi hapa, nimebukiwa tayari😘
Enjoy mrembo hakuna baya huku ee
😂😂 ndio dada😀😀😀kitaeleweka tu