Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Hujasoma shuhuda za watu za kukutana na vitu wasivyotegemea alafu kuna mchawi anaitwa filter ukigonga hiyo kama mzungu

Ndio hofu yangu ilipo hap Mimi, Sasa itabidi niende kwa hisia kwa kuangalia maandishi yenye adabu
 
Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.

Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.

Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...

mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.

Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.

Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Nakadori mbona mm nishalike sana comment zako upo kimya tu
 
Back
Top Bottom