GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kumekucha Ligi Kuu Bara, afisa habari wa Singida Black Stars Hussein Massanza ameahidi kuvaa wigi la afisa habari wa Tabora United Christina Mwagala, endapo timu hiyo ya mkoani Tabora itashinda kwenye uwanja wake wa nyumbani Ali Hassan Mwinyi, Jumapili (Novemba 24).
Chanzo: mwanaspoti_tz
Naisubiria kwa hamu sana hii Mechi ili nione Utekelezwaji wa Ahadi na tafadhali ikitokea basi Wigi livaliwe Kimadaha.
Chanzo: mwanaspoti_tz
Naisubiria kwa hamu sana hii Mechi ili nione Utekelezwaji wa Ahadi na tafadhali ikitokea basi Wigi livaliwe Kimadaha.