Ngololo dancing ya Diamond ndo habari ya town zaiv

Ngololo dancing ya Diamond ndo habari ya town zaiv

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa na wengi lakin kuna Stayle inayochezwa ndani ya video mpya ya my number 1..i dancin stayle mpya aliyoibuni Diamond mwenyewe n style ambayo imetokea kupendwa na wengi ambapo saiv watu wanajirecod clip na kuzweka on social media na hiv karibun kuna competition inakuja wale watakaomudu kuicheza vizuri
 
Back
Top Bottom