heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa na wengi lakin kuna Stayle inayochezwa ndani ya video mpya ya my number 1..i dancin style mpya aliyoibuni Diamond mwenyewe n style ambayo imetokea kupendwa na wengi ambapo saiv watu wanajirecod clip na kuziweka on social media na hivi karibuni kuna competition inakuja wale watakaomudu kuicheza vizuri