Ngololo style ya Diamond ndo habari ya town saiv

Ngololo style ya Diamond ndo habari ya town saiv

Ni style nzuri,ila ukisema amebuni mwenyewe sitakubaliana kwasababu kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa BBA thechase utagundua amec0py and paste,angalia clip za p0kell0,Angel0,Bimp,Baselly walivy0kuwa wakicheza nd0 utagundua.ni vizuri kuchukua style ambay0 watu bad0 hawajaiz0ea.
Azonto mwanzo mwisho!
 
Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa na wengi lakin kuna Stayle inayochezwa ndani ya video mpya ya my number 1..i dancin stayle mpya aliyoibuni Diamond mwenyewe n styke ambayo imetokea kupendwa na wengi ambapo saiv watu wanajirecod clip na kuzweka on social media na hiv karibun kuna competition inakuja wale watakaomudu kuicheza vizuri
Nitarudi baadae.:A S 576:
 
Profesa J aliwahi kusema tunawavika watu mataji kwa nyimbo za tafsiri,ndicho kinachofanyika Tanzania kwa sasa hawa wasanii wanatafsiri nyimbo za wanigeria na wasauzi
 
Koma kutuharibia lugha yetu kwa haraka ya kupost vitu vyako vya kipuuz hapa jamvini, au wewe Mura!

acha hizo wewe!!! kwa hiyo umeona sie wa musoma ndio wa kushindwa tu matumizi ya l na r ? mkuu Nyanidume jiheshimu!
 
Last edited by a moderator:
heaven on desert Nina mashaka na uraia wako sio muhamiaji haramu wewe? Vipi kiswahili kikushinde namna hii licha yakurekebishwa mara kadhaa?
 
Last edited by a moderator:
Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa na wengi lakin kuna Stayle inayochezwa ndani ya video mpya ya my number 1..i dancin stayle mpya aliyoibuni Diamond mwenyewe n styke ambayo imetokea kupendwa na wengi ambapo saiv watu wanajirecod clip na kuzweka on social media na hiv karibun kuna competition inakuja wale watakaomudu kuicheza vizuri

Kiongozi, hiyo style sio mpya ila imepewa jina jipya, inaitwa azonto, ina asili ya Ghana/Nigeria , wapwa wangu kutoka Ghana wamekuwa wakiicheza kwa mda mrefu tu.
 
Back
Top Bottom