heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa na wengi lakin kuna Stayle inayochezwa ndani ya video mpya ya my number 1..i dancin stayle mpya aliyoibuni Diamond mwenyewe n styke ambayo imetokea kupendwa na wengi ambapo saiv watu wanajirecod clip na kuzweka on social media na hiv karibun kuna competition inakuja wale watakaomudu kuicheza vizuri
mi huo uandishi wako ndo unanipa tabu sasa sijui ungekuwa unaandaka kwa pen ingekuwaje!???
Koma kutuharibia lugha yetu kwa haraka ya kupost vitu vyako vya kipuuz hapa jamvini, au wewe Mura!Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa.
Koma kutuharibia lugha yetu kwa haraka ya kupost vitu vyako vya kipuuz hapa jamvini, au wewe Mura!
samahani lakini, hivi dimond anakulipa kama wale wa buku 7 lumumba?
samahani lakini, hivi dimond anakulipa kama wale wa buku 7 lumumba?
Ni style nzuri,ila ukisema amebuni mwenyewe sitakubaliana kwasababu kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa BBA thechase utagundua amec0py and paste,angalia clip za p0kell0,Angel0,Bimp,Baselly walivy0kuwa wakicheza nd0 utagundua.ni vizuri kuchukua style ambay0 watu bad0 hawajaiz0ea.
Richa ya wimbo mpya wa diamond kupendwa na wengi lakin kuna Stayle inayochezwa ndani ya video mpya ya my number 1..i dancin stayle mpya aliyoibuni Diamond mwenyewe n styke ambayo imetokea kupendwa na wengi ambapo saiv watu wanajirecod clip na kuzweka on social media na hiv karibun kuna competition inakuja wale watakaomudu kuicheza vizuri
Mkuu naona umelipwa kumfanyia promo coz hii mara ya pili naona unapost kuhusu Diamond na wimbo wake, nakushauri upeleke hii post kule jukwaa la matangazo. OMBI tuna omba ushahidi wa hizo video wanazojirekodi watu ili tuamini( ni vizuri zikiwa more than 50) hapo utaaminika other wise, MSALIMIE SANA NA MWAMBIE MUWE MNALIPIA MATANGAZO, MSIKWEPE KODI
watanzania bana so unanibishia wakati tulikuwa sote akiifanyia mazoez yeye na dancers..bora ungesema zimefanana..mwwnyewe alikuwa hafuatilii hta hiyo bba.mwishowe mtasema hadi hizo pesa za shooting siyo zake kamwibia mtu..bongo bana
diamond anaendesha
music wake kisasa kuliko mnavyofikilia..hafanyi kila kitu peke yake..na
WASAFI siyo jina tu kajiitia..ile ni kampuni watu tumeajiliwa pale
kila mtu ana kitengo chake kuwezesha msic wake uendelee kusonga na nina
mshahara mkubwa pengine kuliko wewe unaepiga domo hum..na kupost habari
za naseeb hum napost kwa matakwa yangu coz cwez kuacha kuandika habari
za boss wangu nipost habri za timburo or nani cjui....
diamond anaendesha music wake kisasa kuliko mnavyofikilia..hafanyi kila kitu peke yake..na WASAFI siyo jina tu kajiitia..ile ni kampuni watu tumeajiliwa pale kila mtu ana kitengo chake kuwezesha msic wake uendelee kusonga na nina mshahara mkubwa pengine kuliko wewe unaepiga domo hum..na kupost habari za naseeb hum napost kwa matakwa yangu coz cwez kuacha kuandika habari za boss wangu nipost habri za timburo or nani cjui....