Ngololo ya Diamond ilivyompa dili fasta jioni hii

Ngololo ya Diamond ilivyompa dili fasta jioni hii

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
1175658_10151937249851015_685519571_n.jpg
 
Si zali wadau, ila ana wa2 ambao wanaweza kucheza michezo ya kijangiri na hayo makampuni.
 
si zali wadau, ila ana wa2 ambao wanaweza kucheza michezo ya kijangiri na hayo makampuni.

kumbuka hayo makampuni yako pale kutengeneza faida .... Chochote kitakachofanywa kati ya wewe na makampuni hayo kwa namna moja ama nyingine ni lazima uyaingizie faida kwa kiasi fulani....

Diamond kwa status yake ya celebrity ana uwezo huo...
Hata wewe ungekuwa na status hiyo ya u celebrity bongo hapa ungeanya hivyo

hilo neno ulilolisema mkuu wangu ni neno la kiwivu wivu
 
Mkuu CTU watu hawana wivu na Diamond, sema diamond anawatu kweli wanaojua jinsi ya kucheza michezo ya kijangiri mjini. Na hicho ni kitu kizuri na ni fundisho kwa wasanii wengine pia. Sio kila siku ohhh Ruge anatunyonya mara Clouds inatuzibia riziki. Ujumbe umefika. Big up Diamond.
 
mmmh.....huo msemo wa kwamba anawatu wanaojua michezo ya kijangiri mjini nimeupenda....
 
Kweli kabisa.. Mimi mwenyewe naona huyu dogo anajua namna ya kutafuta chanzo cha kipato kwa mwanamuziki, siku kusubiri ma-concert tu.
 
Back
Top Bottom