kumbuka hayo makampuni yako pale kutengeneza faida .... Chochote kitakachofanywa kati ya wewe na makampuni hayo kwa namna moja ama nyingine ni lazima uyaingizie faida kwa kiasi fulani....
Diamond kwa status yake ya celebrity ana uwezo huo...
Hata wewe ungekuwa na status hiyo ya u celebrity bongo hapa ungeanya hivyo
hilo neno ulilolisema mkuu wangu ni neno la kiwivu wivu
Mkuu CTU watu hawana wivu na Diamond, sema diamond anawatu kweli wanaojua jinsi ya kucheza michezo ya kijangiri mjini. Na hicho ni kitu kizuri na ni fundisho kwa wasanii wengine pia. Sio kila siku ohhh Ruge anatunyonya mara Clouds inatuzibia riziki. Ujumbe umefika. Big up Diamond.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.