Mkuu CTU watu hawana wivu na Diamond, sema diamond anawatu kweli wanaojua jinsi ya kucheza michezo ya kijangiri mjini. Na hicho ni kitu kizuri na ni fundisho kwa wasanii wengine pia. Sio kila siku ohhh Ruge anatunyonya mara Clouds inatuzibia riziki. Ujumbe umefika. Big up Diamond.