Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Hasa Salehe Jembe.Daah magazeti ya bongo huwa wanatoa wapi habar zao za michezo? Tuliaminishwa Ngoma kasajiliwa Simba kumbe udaku tu ili wauze magazeti. Sitoyaamini tena.
Anajua kubuni habari auze gazeti la Champion