NGOMA ajiunga na polokwake , aziacha Simba na Yanga kwenye mataa

Daah magazeti ya bongo huwa wanatoa wapi habar zao za michezo? Tuliaminishwa Ngoma kasajiliwa Simba kumbe udaku tu ili wauze magazeti. Sitoyaamini tena.
Hasa Salehe Jembe.
Anajua kubuni habari auze gazeti la Champion
 
Zimbabwean international Donald Ngoma has joined Absa Premier League side Polokwane City on a three-year deal from Young Africans SC in Tanzania.
 
donald ngoma akipokelewa airport muda huu,hiyo polokwane iliyomsajili labda imemsajili ngoma wa kiluvya fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…