Ngoma draw-wewe unaichakaza office ,housegirl wako anakuharibia home na bush style

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Ngoma draw-wewe unaichakaza office ,housegirl wako anakuharibia home
Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload Videos! Wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu.
Basi ndio hivyo hivyo housegirl/Houseboy wako ulomuacha home naye kashika Remote zote za DSTV, Deki, TV na StarTimes, Kawasha feni kaisogelea, nje kuna taa zinawaka, anampasia nguo Boifrendi wake muuza mkaa, anakunywa maji yako ya Kilimanjaro afu anarudishia ya bombani, maziwa anatumia anaongeza maji, na kama hujafunga chumba chako, ujue sasa hivi amejilaza kwenye kitanda chako na anajaribisha nguo zako.
Yes we si una fujo za mjini uko online, sasa na wenzio wana fujo za kijijini off-line home kwako. Ngoma Droo kudadeki!

nime icopy na paste kutoka mahali fulani hivi(avoid plagiarism)
 
Eeeh ilonalo neno,chumba changu nafunga,sebule naitia kufuli nikirudi jioni naifungua hapo nitamuweza
 
Eeeh ilonalo neno,chumba changu nafunga,sebule naitia kufuli nikirudi jioni naifungua hapo nitamuweza
Kuna vingine huwezi mfungia,ha ha ha atavichakaza tu na Bush style

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naenda home maramoja, Ni emergency ntarudi baada ya nusu saa..
 
Umenikumbusha mawaaidha ya sheikh mmoja alikua akizungumzia kuhusu hao house girls, kuna baba mmoja alirudi ghafla home kwake na kukumkuta house girl ananyonya maziwa ya mtoto kwenye chupa kama afanyavyo mtoto vile. Nlichekaje!!!
 
Wenyewe ni watu wa kuharibu hawana cha kupoteza

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa ndo nagundua busara za Kova kwa nini alikataa nisimiliki silaha aisee..

Teh. Wavumilieni tu jaman

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nawachukia sana hawa beki3 wakiamua kukukomoa mbona utajutaaaa.... ila basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…