Ngoma droo, Ruby naye apata mimba, kigogo anahusika

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yaani nmeufungua Uzi kwa hamu kubwa nikitama kujua kuwa ni jamaa gani aliyetundika mimba ruby. Kumbe hats huyo ruby ni jibwa la kiba ! Shenz* type....
 
Hivi esma anashindwa kupanga hata chumba na sebule, hana kazi?
Si alikuwaga na duka la nguo?Huyu nae aliuparamia udada wa mjini sana,kipindi kile kabla hajaolewa na huyo Petit Man alikuwa mzuri masikini sasa hivi kazeeka kama nini!
Halafu asivyo na akili ya kutumia umaarufu wa kaka yake kama fursa amekaa tu kazi kupishana milangoni na kwenye swimming pool na Zari huko madale....WTF?
 
Ha ha ha ha ha anajikuta naye Bosslady wa madale
 
Ha..haa..haaa Msaga sumu balaa
 
Nifani isn't you in your avatar?

swissme
 
kwa hiyo makampuni 3 yameingia mkataba na RUBY si mchezo.

swissme
 

halafu hiyo picha ya huyo dog kama vile inataka kumfanana kikwelikweli!
 
Nikiwa na mbwa ntachagua jina la mtu humu humu jf nadhani naniliu
 
Teh Teh hii ya Rubby inaweza kumfanya atake kujiua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…