Ngoma gani inasumbua Sana mitaa yako kwa sasa?

Ngoma gani inasumbua Sana mitaa yako kwa sasa?

Uzi nyingine bora tu kucoment kupunguza lawama ila dah ndugu ngoma inayohiti bro hili neno tunatumia nguruwe anapokuwa na ham ya kuwekwa mimba na ngurue mwenzake bas tunasema jike limehit
 
Saraphina - sisi ni wale.
[emoji120][emoji120][emoji178][emoji178]

Naupenda huu wimbo had baas, unanikoshaa mnoo.
 
Back
Top Bottom