Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
[emoji2] nilifikiri nimeona kilakituYap yaani nilienda mkesha likawa linapigwa church
Nikatoroka church mida ya saa tano nikaingia chimbo kupiga vyombo ...nikalikuta tena linapigwa
Ila sad story sikuile waliniibia biblia bar