Ngoma gani inasumbua Sana mitaa yako kwa sasa?

Yap yaani nilienda mkesha likawa linapigwa church
Nikatoroka church mida ya saa tano nikaingia chimbo kupiga vyombo ...nikalikuta tena linapigwa


Ila sad story sikuile waliniibia biblia bar
[emoji2] nilifikiri nimeona kilakitu
 
Kuna liwimbo moja incharge linaimba shenshee shensheeee shensheeee .Unalijua hilo? Linakita hapa nyumbani .
 
Daadi mi I want to patii...
Daadi mi i want to patii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…