Ngoma gani tena hii?

Ngoma gani tena hii?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,956
Reaction score
5,149


Naomba mnisaidie wakuu hii ni ngoma gani inayochezwa huku chupa za bia zimewekwa kama nanihii?
 
Haha hhahh hahaha, hawa si wabongo, ni afrika ya wapi hii?
 
wacha watu wale maisha..hiyo nafikiri ni style mpya..dah bongo style zinaibuka everyday..imetulia hii
 
Back
Top Bottom