Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Libya, Muammar Gadafi (kulia) wakati wa maonyesho ya sanaa na ngoma alizowaandalia wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU) baada ya kikao chao cha siku moja kilichofanyika juzi katika Mji wa Tripoli nchini humo kuzungumzia usalama barani Afrika.