Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Sijawahi kumpenda Alikiba, ingawa haimanishi nampenda domo..!
Hahaaaaa. Umenifurahisha sana aisee. Kama mimi ambavyo sijawahi kumpenda domo mpenda misifa na haimaanishi nampenda kibakuli
 
Ndio glisi yenyewe hiyo ..jamani angalieni tu hali mbaya mjini hapa
 
Hakuna kiki promo ya Mange hakuna kiki ya WCB safari hii huu wimbo ukifikisha views 1M ndani ya siku tatu najivua uteam Mond nahamia kwa Kiba.......mtu anikumbushe hii kitu J3....
Viewers M1 ndani ya cku Tatu mbona ni chache watu wana gonga 1M viewers in 24 hours
 
Masaa manne tangu kuachiwa kwa ngoma mpya ya mvumo wa radi hatimaye wimbo huo umevunja rekodi kwa kujikusanyia vies 170K (170,000).

Rekodi hii inawekwa ikiwa wimbo huo haujapata promo yoyote.
HONGERENI SANA ALI KIBA KWA REKODI MPYA.
 
pumba kabisa. unaijua YouTube wewe? sema Ali kiba kavunja rekodi ya youtube ya East Africa. kuna vichwa kama Drake, Nick, Card Bi...likes ni tilioni, sio tena millioni...halafu unawahi kupost hapa ati mjinga flan kavunja rekodi
 
Masaa manne tangu kuachiwa kwa ngoma mpya ya mvumo wa radi hatimaye wimbo huo umevunja rekodi kwa kujikusanyia vies 170K (170,000).

Rekodi hii inawekwa ikiwa wimbo huo haujapata promo yoyote.
HONGERENI SANA ALI KIBA KWA REKODI MPYA.
ati bila promo yoyote...kwahyo Clouds wameshinda wanapiga daku au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…