Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Napenda mziki mzuri wa msanii yoyote yule hata aslay ila Tatizo hatupendi kusikia ukweli ila ngoma hii imebuma kabisa.
 
Bora KIBAKULI abaki na Ubalozi wa MO_MOTO tu mziki kashachuja ila kinachomuokoa ni Haters wa DOMO ndio mtaji wake,Sisemi hivi labda ukazani namshabikia DOMO Nope Sina Timu yeyote.(Nampakaga sana DOMO humu ndani hivyo timu KIBA msije kuona namshabikia DOMO).
 
Kwa mara ya kwanza nashuhudia promo nzito ya Clouds imefeli. Leo nilikuwa na muda mwingi wa kusikiliza hiyo redio, sijaona wakiipa promo kitu ambacho si kawaida yao kwa kitu walichopania kibambe, nafikiri mwitikio wa raia umewadissappoint. Poleni TeamKiba kwa kipigo hiki cha mbwakoko[emoji13], je tusubirie 'hit' nyingine mwakani?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bonge la ngoma ila vijana hawataelewa
 
As usual, useless song. Hivi kwanini Kiba asitafute nyimbo za kununua kama afanyavyo bibie Nandy Machupi? Kiba hana nyimbo nzuri kabisa.
 
NANI ALIMSHAURI HUU WIMBO UITWE HIVI?
mvumo wa radi?
WOOOOIH!
 
Back
Top Bottom