Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nilijua tangazo la mofaya kumbe ni wimbo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa walengwa wameupenda. Jamaaa yuko vizuri
NA WAMEGOMA KUMPA KIKI!wimbo naona kachemsha.. asubiri labda wcb weupe busti bila hivyo naona king kachoka sasa alee ndoa tu
Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.
Nitarudi badae na maoni yangu...
JamaniNA WAMEGOMA KUMPA KIKI!
kimyaaa wanazindua filamu ya mama cookie sa hiz!
Chukiwimbo naona kachemsha.. asubiri labda wcb weupe busti bila hivyo naona king kachoka sasa alee ndoa tu
KabisaWimbo mzuri....Anaimba anasikika neno kwa neno na anaeleweka sio aina ya zile nyimbo mtu anaimba ujui hata anazungumzia nini.
naupa 9/10