zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,483
- 1,705
Ndio nimeshangaa kuna nyuzi kama sita nk kila kona alikiba alikibakweli kabisa kila saa wanamuanzia topic... kwanini wasimuongelee TID, Z anto au hata Kr Muller?
HV hawajishukii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nimeshangaa kuna nyuzi kama sita nk kila kona alikiba alikibakweli kabisa kila saa wanamuanzia topic... kwanini wasimuongelee TID, Z anto au hata Kr Muller?
Hii nyimbo ina majina ya nchi kibao kama aliingia studio na Atlas pamoja na ramani. King kiba umezinguaaaaa
Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.
Nitarudi badae na maoni yangu...
Sasa mbona mnajadili keaua na viuno....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Raisi wa marekani wapo kwenye kikao na raisi wa korea kuhusu mabomu ya nyuklia
Acha 'kujifanya' unajua muziki wakati hujui lolote. Afropop unaifahamu? Unajua asili ya AfroPop? Wakati mwingine 'kujitia' ujuaji unaweza kudharilika.una mahadhi ya afropop..nisawa na mwana..ni sawa na dushelele "" muwe mnajifunza kujua aina ya muziki jamani mnatuchosha...afropop ..ni aina ya muziki ambao hauna taifa isipokuwa nimziki wa Africa nzima
nilishafunga mjadala"" mimi aisee..."" sitaki mipasho "" sawa ""tafuta mtu wakubishana nae "" kama ungekuwa unataka battle nami " ungekuja ijumaa"" siwezi acha kufanya mambo yangu yanye tija...then nikaanza kujikita kwenye ushabiki wa kipuuzia""",so I'm sory namba unayoipiga kwa sasa haipatikani chiefAcha 'kujifanya' unajua muziki wakati hujui lolote. Afropop unaifahamu? Unajua asili ya AfroPop? Wakati mwingine 'kujitia' ujuaji unaweza kudharilika.