Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.

Nitarudi badae na maoni yangu...
Hii nyimbo ina majina ya nchi kibao kama aliingia studio na Atlas pamoja na ramani. King kiba umezinguaaaaa
 
una mahadhi ya afropop..nisawa na mwana..ni sawa na dushelele "" muwe mnajifunza kujua aina ya muziki jamani mnatuchosha...afropop ..ni aina ya muziki ambao hauna taifa isipokuwa nimziki wa Africa nzima
Acha 'kujifanya' unajua muziki wakati hujui lolote. Afropop unaifahamu? Unajua asili ya AfroPop? Wakati mwingine 'kujitia' ujuaji unaweza kudharilika.
 
Katika hali isiyo ya kawaida YouTube imeuondoa kabisa wimbo wa Ali kiba kwenye trending zake. Awali wimbo huo ulikuwa namba moja kwenye trend za YouTube kwa upande wa Tanzania
Screenshot_2018-05-14-12-52-41.jpg
Screenshot_2018-05-14-12-56-03.jpg
 
Timu domo mnatumia nguvu kubwa kumshusha king ila hamuwezi yaani mziki kwenu bila ndumba hamuez
 
Acha 'kujifanya' unajua muziki wakati hujui lolote. Afropop unaifahamu? Unajua asili ya AfroPop? Wakati mwingine 'kujitia' ujuaji unaweza kudharilika.
nilishafunga mjadala"" mimi aisee..."" sitaki mipasho "" sawa ""tafuta mtu wakubishana nae "" kama ungekuwa unataka battle nami " ungekuja ijumaa"" siwezi acha kufanya mambo yangu yanye tija...then nikaanza kujikita kwenye ushabiki wa kipuuzia""",so I'm sory namba unayoipiga kwa sasa haipatikani chief
 
Ni baada ya kuachia ngoma Kali(ila sina uhakika) ambayo inaitwa mvumo wa cheche,amesema ataendelea kuachia ngoma zingine Kali akiwa na wakongo mbalimbali.
 
Huu wimbo kuupenda au kutoupenda unategemea pia na umri sidhani kama kata k watauelewa sana!..inahitaji MTU anayejua muziki kujua kama huo wimbo ni mzuri!
 
Huu wimbo kuupenda au kutoupenda unategemea pia na umri sidhani kama kata k watauelewa sana!..inahitaji MTU anayejua muziki kujua kama huo wimbo ni mzuri!
 
Mvumo wa ladi imebuma japokuwa ilipewa promo ya Siku nzima na mawingu TV[emoji109][emoji109] toa maoni yako kwanin imebuma
Screenshot_20180514-231818.jpg
 
Uta furahi ukiangalia harusi ya Kiba you tube kuliko kuangalia MVUMO WA RADI........., Chaaaaa.....! Kitu kimebuma....
 
Back
Top Bottom