Ngoma mpya ya Jux

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Jamaa amerelease new joint inaitwa Fimbo, Jamaa hajawahi niangusha aisee..
 
Sikatai, ni mitazamo yenu binafsi wakuu,kila mtu anaselections zake
 
Mi huwa nashangaa sana kwa tz kwanini msanii anayeimba vizuri nakutoa music mzuri hawaendi kimataifa,

Bali hawa wanaomba manyimbo hata hayana ladha eti ndio wanaonekana waimbaji wazuri,

Jux ni muimbaji mzuri na nyimbo zake ni nzuri karibu zote na hajaiba beat kama wawengine wanavyo fanya, ila sijui kwanini haendi juu kama wengine, nadhani jamaa anaudai music kwakweli, maana ameutendea haki kabisa toka ameanza kuimba
 
Hivi unadhani huko mbelee wanajua kiswahili hata uimbe maneno matamu vipi ndo maana mond ni mjanja anajua kucheza na soko la dunia soko la MarekanI na pande zingine panatakiwa uimbe kwa ubunifuuu zaidi
 
Uko sahihi kabisa mkuu, kijana anaudai sana huu mziki
 
Uko sahihi kabisa mkuu, kijana anaudai sana huu mziki
Alafu style ya uimbaji wake wengi hawawezi, ni R&B fulani hivi, sio kama wengine hata haijulikani wanaimba music wa aina gani
 
Hivi unadhan huko mbelee wanajua kiswahili hata uimbe maneno matamu vipi ,,,ndo maana mond n mjanja anajua kucheza na soko la dunia ,,,,,soko la marekan na pande zingine panatakiwa uimbe kwa ubunifuuu zaid
Mkuu kweli ngeli ya jux vuitton utalinganisha na ya naseeb?
 
Juma anasauti nzuri mnoo lakini utunzi hamna kitu , hamna kitu mzeee aendelezee African boy tu.
 
Mwamba. Kwahy juma ajirekebishe wapi mkuu?? Aendane na wao.
Mwamba mi naona jux ana mashabiki wake ni kama magari tu, Kuna ndinga za hatari za kila aina, ila Benz inabaki kua na wateja wake classic
 
Hivi unadhan huko mbelee wanajua kiswahili hata uimbe maneno matamu vipi ,,,ndo maana mond n mjanja anajua kucheza na soko la dunia ,,,,,soko la marekan na pande zingine panatakiwa uimbe kwa ubunifuuu zaid
kwahiyo mond nyimbo zake zimepenya kwenye soko la Marekani ?
 
Video nimeiona nzuri ,lkn sijajua yule Waziri kijana wa kike toleo la zamani na BASATA watasemaje manake pale kwenye swimming pool kuna weza kukamponza jux,ila jamaa yupo vizuri ,video na audio zote nzuri
 
Jamaa kuimba hajui analazimisha fani sio yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…