donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Jamaa amerelease new joint inaitwa Fimbo, Jamaa hajawahi niangusha aisee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa mkuu, kijana anaudai sana huu mzikiMi huwa nashangaa sana kwa tz kwanini msanii anayeimba vizuri nakutoa music mzuri hawaendi kimataifa,
Bali hawa wanaomba manyimbo hata hayana ladha eti ndio wanaonekana waimbaji wazuri,
Jux ni muimbaji mzuri na nyimbo zake ni nzuri karibu zote na hajaiba beat kama wawengine wanavyo fanya, ila sijui kwanini haendi juu kama wengine, nadhani jamaa anaudai music kwakweli, maana ameutendea haki kabisa toka ameanza kuimba
Alafu style ya uimbaji wake wengi hawawezi, ni R&B fulani hivi, sio kama wengine hata haijulikani wanaimba music wa aina ganiUko sahihi kabisa mkuu, kijana anaudai sana huu mziki
Mkuu kweli ngeli ya jux vuitton utalinganisha na ya naseeb?Hivi unadhan huko mbelee wanajua kiswahili hata uimbe maneno matamu vipi ,,,ndo maana mond n mjanja anajua kucheza na soko la dunia ,,,,,soko la marekan na pande zingine panatakiwa uimbe kwa ubunifuuu zaid
Mwamba mbona hata kwa utunzi yuko motema tu? cheki utaniua,uzuri wako, wivu etc. Jamaa anafanya mziki mzuri sanaJuma. Anasauti. Nzuri mnoo. Lakn. Utunzi hamna kitu , hamna kitu mzeee. Aendelezee African boy tu.
Mwamba kwahiyo juma ajirekebishe wapi mkuu? aendane na wao.Mwamba mbona hata kwa utunzi yuko motema tu? Chek utaniua,uzuri wako, wivu etc. Jamaa anafanya mziki mzuri sana
Mwamba mi naona jux ana mashabiki wake ni kama magari tu, Kuna ndinga za hatari za kila aina, ila Benz inabaki kua na wateja wake classicMwamba. Kwahy juma ajirekebishe wapi mkuu?? Aendane na wao.
kwahiyo mond nyimbo zake zimepenya kwenye soko la Marekani ?Hivi unadhan huko mbelee wanajua kiswahili hata uimbe maneno matamu vipi ,,,ndo maana mond n mjanja anajua kucheza na soko la dunia ,,,,,soko la marekan na pande zingine panatakiwa uimbe kwa ubunifuuu zaid
Halafu jamaa hua hakosei kwenye vichupaJamaa amerelease new joint inaitwa Fimbo, Jamaa hajawahi niangusha aisee..