Ngoma mpya ya Jux

Ngoma mpya ya Jux

Video nimeiona nzuri ,lkn sijajua yule Waziri kijana wa kike toleo la zamani na BASATA watasemaje manake pale kwenye swimming pool kuna weza kukamponza jux,ila jamaa yupo vizuri ,video na audio zote nzuri
Sure mkuu, jamaa haniangushagi kabisa
 
Kwahiyo kama angetukana na wewe ungetukana? Kuwa na utashi wako mwenyewe na sii kufata utashi wa watu, utapotea
Mkuu, kama yeye kwenye profiles zake anajiita Naseeb, shida nini?
 
Mi huwa nashangaa sana kwa tz kwanini msanii anayeimba vizuri nakutoa music mzuri hawaendi kimataifa,

Bali hawa wanaomba manyimbo hata hayana ladha eti ndio wanaonekana waimbaji wazuri,

Jux ni muimbaji mzuri na nyimbo zake ni nzuri karibu zote na hajaiba beat kama wawengine wanavyo fanya, ila sijui kwanini haendi juu kama wengine, nadhani jamaa anaudai music kwakweli, maana ameutendea haki kabisa toka ameanza kuimba
Mziki anaoimba Jux uko nje ushasikika sana sasa ivi watu wanataka kuckia something new mziki flan km Afro Pop ivi izi RnB ukiangalia hata nje wanoimba ni wachache most people wanasikiliza mziki wa Rock na Pop
 
Back
Top Bottom