Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Ngada kaacha?Msanii hitmaker wa mziki Darasa kaibuka na kali ya kufungia mwaka baada ya kimya cha muda mrefu...this time kaja na "Tofauti" ingia hapa kuskiliza dude la kimataifa
HaHaahaas....dah mkuu umekaza sana.hahahaha naisikia beat ya muziki sio tofauti na sioni tofauti bali taka taka tupu.
Anaongea tuuu..
Huu wimbo ni mabya labda kama kuna mwingine....
Katoa na nyingine dah haki ya Mungu wacha WCB waendelee kutamba tu kama wasanii wenyewe ndo wanatoa ngoma kama hizi,jana Ali naye kamtolea kijana wake wimbo sijui unaitwaje huko bonge la boko...Kama kuna aliyeielewa hii nyimbo naomba anieleweshe!!😂