makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,620
- 5,260
😂😂😂😂Nimesikiliza muda mrefu nasubiri ngoma ianze nikajua jamaa bado anafanya intro kumbe wimbo ndo ushaanza kitambooo. Kweli Darasa anakula unga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Nimesikiliza muda mrefu nasubiri ngoma ianze nikajua jamaa bado anafanya intro kumbe wimbo ndo ushaanza kitambooo. Kweli Darasa anakula unga
Anatupeleka kwenye vionjo vya hit iliyomtoa alafu anadhani hatujamgunduaDarasa bhangi zinampeleka vibayaa.. Tatzo beat ya Muziki haitoki kichwani...!! Anataka amek Hit kali ziadi ya ilee kwa kupita njia ile ilee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anaongea ujinga tu humok
Huyu jamaa ni wazi anaumwa sasa....
Ulimi umeshakuwa mzito...ngada nomaaa..
Nimeziskia Mkuu Nikabaki Speechless, Kinachowabeba right now ni majina tu na siyo Kazi nzuri tena..!!Katoa na nyingine dah haki ya Mungu wacha WCB waendelee kutamba tu kama wasanii wenyewe ndo wanatoa ngoma kama hizi,jana Ali naye kamtolea kijana wake wimbo sijui unaitwaje huko bonge la boko...
Yan wewe nikiwakilishi kizuri cha watanzania wengi,yani mnapenda mtu aharibikiwe utadhan nyie mnafaidika.
kama hujaipenda nyimbo wengine tumeipenda
Wewe unaweza?Ya kawaida, anaongea kwenye beat
Na wewe unakula uu..m.e au?Nimesikiliza muda mrefu nasubiri ngoma ianze nikajua jamaa bado anafanya intro kumbe wimbo ndo ushaanza kitambooo. Kweli Darasa anakula unga
Msanii hitmaker wa mziki Darasa kaibuka na kali ya kufungia mwaka baada ya kimya cha muda mrefu...this time kaja na "Tofauti" ingia hapa kuskiliza dude la kimataifa
Nimesikiliza muda mrefu nasubiri ngoma ianze nikajua jamaa bado anafanya intro kumbe wimbo ndo ushaanza kitambooo. Kweli Darasa anakula unga
nani kamshindanisha na wasafi?Mbona ni ngoma nzuri na video yake ipo poa tu kwani ni lazima ashindwanishe na wasafi