Ngoma mpya ya kali ya kufungia mwaka kutoka kwa msanii Darasa hii hapa

Darasa bhangi zinampeleka vibayaa.. Tatzo beat ya Muziki haitoki kichwani...!! Anataka amek Hit kali ziadi ya ilee kwa kupita njia ile ilee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anaongea ujinga tu humok
Anatupeleka kwenye vionjo vya hit iliyomtoa alafu anadhani hatujamgundua
 
Huyu jamaa ni wazi anaumwa sasa....
Ulimi umeshakuwa mzito...ngada nomaaa..

Yan wewe nikiwakilishi kizuri cha watanzania wengi,yani mnapenda mtu aharibikiwe utadhan nyie mnafaidika.
kama hujaipenda nyimbo wengine tumeipenda
 
Katoa na nyingine dah haki ya Mungu wacha WCB waendelee kutamba tu kama wasanii wenyewe ndo wanatoa ngoma kama hizi,jana Ali naye kamtolea kijana wake wimbo sijui unaitwaje huko bonge la boko...
Nimeziskia Mkuu Nikabaki Speechless, Kinachowabeba right now ni majina tu na siyo Kazi nzuri tena..!!
 
Humu jf kila mtu hujidai ni expert wa mziki cha ajabu wao hawakuwahi hata kuimba kwenye kwaya za shule ya msingi
 
Sina haja ya kumuombea mabaya mvuja jasho mwenzangu. Apate matitababu.
Yan wewe nikiwakilishi kizuri cha watanzania wengi,yani mnapenda mtu aharibikiwe utadhan nyie mnafaidika.
kama hujaipenda nyimbo wengine tumeipenda
 
Nimesikiliza muda mrefu nasubiri ngoma ianze nikajua jamaa bado anafanya intro kumbe wimbo ndo ushaanza kitambooo. Kweli Darasa anakula unga

Mkuu jamaa ndio ametoa ngoma hvo, mpeni sapoti
 
Mbona ni ngoma nzuri na video yake ipo poa tu kwani ni lazima ashindwanishe na wasafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…