Ngoma mpya ya Raymond

Nyimbo ya zamani saana hiyo kabla hajaenda wasafi...hata kibwagizo cha waaasaaafiii hakuna
unaweza ukawa upo sawa ila jana ndo imewekwa ktk blogs kwan ww ulikua ushawahi isikia
 
hahahaaaaa lakin si uki click unapata kitu ilolengwa mkuu au unapata mashairi kama ulivyosema
Hahaha
Napata nifungue kama document halafu naona mambo ya ajab ajab tuu
Hamna nyimbo hapo[emoji23]
 
Acheni maneno tuwekeeni mziki ila huo wapelekewe watoto wa nursery wanaweza kuupenda
 
duuuuuuuu!!!! unamaanisha mkuu au unatania tuu kwa vile watu wa mbeya (wanyakyusa) ni watani wako
 
team kiba punguzeni milippuko.......
 
Hii nyimbo ya kitambo sana, ni ya 2013 hii mkuu
 
Kabla hujapost humu ungafanya tafiti kwanza! hiyo ngoma ipo you tube sijui ina kama mwaka hivi!
Umeona tu mtu ameamua kuapload leo ukakurupuka kuanzisha uzi huku
 
Nyimbo ya kitambo,naona watu mnakoment kaa chuki,nyimbo haiitwi furaha inaitwa upo mwenyewe,alitoa akiwa Tip Top,ACHENI CHUKI.
 
Nyimbo ya kitambo,naona watu mnakoment kaa chuki,nyimbo haiitwi furaha inaitwa upo mwenyewe,alitoa akiwa Tip Top,ACHENI CHUKI.
hata hamna chuki mkuu, mie ni shabiki ake sana ila nmeona imekua uploaded jana ktk blog moja hv na wanaeleza ni mpya nkashangaa pia mbona anarudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…