Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Ndo maana kna vyanzo mbalimbali vya habari mbona mi niliikuta wimbo wa nitarejea ya Diamond ime-upload-iwa juzi kwa blog moja hivi, nikazani mpya kumbe ya kitambo sema huyo mmiliki wa blog hiyo alikuwa hana kwa blog yake and then anatafuta views kwa blog yake.Ni kiki tu anatafuta.hata hamna chuki mkuu, mie ni shabiki ake sana ila nmeona imekua uploaded jana ktk blog moja hv na wanaeleza ni mpya nkashangaa pia mbona anarudi nyuma