Ngoma mpya ya Raymond

Ngoma mpya ya Raymond

hata hamna chuki mkuu, mie ni shabiki ake sana ila nmeona imekua uploaded jana ktk blog moja hv na wanaeleza ni mpya nkashangaa pia mbona anarudi nyuma
Ndo maana kna vyanzo mbalimbali vya habari mbona mi niliikuta wimbo wa nitarejea ya Diamond ime-upload-iwa juzi kwa blog moja hivi, nikazani mpya kumbe ya kitambo sema huyo mmiliki wa blog hiyo alikuwa hana kwa blog yake and then anatafuta views kwa blog yake.Ni kiki tu anatafuta.
 
huu mwaka sijui nimeuanzaje? yani naona kuna mambo yamesha anza kunichosha.
 
Huu sio Wimbo mpya kabisa.

Kuanzia anavyo-sound na kila kitu....umeshindwa hata kujiuliza kwanini hakuna kibwagizo cha wasafi kama ilivyo kawaida yao?!

Siku nyingine fanya utafiti kabla ujaweka uzi humu.

Wimbo ni mbaya.
 
Huu uzi nimejaribu kuangalia tarehe ni uzi wa lini nikashangaa kuona kuwa ni wa tareh 4/1/2017 kilicho nifanya nishangaeee ni kuona huu wimbo unatambulishwa kama mpya wakati unakaribia kumaliza mwakaa huu wimbo!

Mtoa Mada na wachangiaji mnao msupport mnashusha hadhi ya jamii Forum lets disscuss current issues
 
Rayvon hana uwezo wa kuimba mwenyewe wala kutunga......
 
Back
Top Bottom